{"id":752981,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/752981/?format=json","text_counter":81,"type":"speech","speaker_name":"s","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Wakenya walipitisha Katiba na ukweli ni kwamba ni haki ya kila mkenya kuhakikishiwa kwamba amepata huduma ya matibabu popote pale alipo, lakini ni masitiko makubwa---"}