{"id":753078,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/753078/?format=json","text_counter":178,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwaura","speaker_title":"","speaker":{"id":13129,"legal_name":"Isaac Maigua Mwaura","slug":"isaac-mwaura"},"content":"shamba na sasa bei ni ghali mno kwa sababu wanatafuta tiba kila mahali na mwishowe, utapata hata hawawezi kutibiwa na wanaendelea kuathiriwa na magonjwa."}