{"id":753613,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/753613/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"kwamba hata yeye hajui jinsi hela zitakavyotumika. Kwa hivyo, alitushauri tuzipatie serikali za kaunti kiasi hicho cha Kshs210 bilioni mwaka huu. Mwaka ujao, tutajua serikali za kaunti zilitumia hela hizo namna gani, na tutawaongeza kukiwa na haja ya kufanya hivyo."}