{"id":756056,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756056/?format=json","text_counter":105,"type":"speech","speaker_name":"The Woman Representative for Nakuru County","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Pia, nachukua fursa hii kumpongeza Mhe. Muturi kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Taifa. Nawapongeza wenzangu waheshimiwa Wabunge ambao wamechagulia kuja hapa kuwakilisha wananchi wa sehemu yao. Nawatakia baraka ya Mwenyezi Mungu wanapojitayarisha kufanyia wananchi wa Kenya kazi."}