{"id":756060,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/756060/?format=json","text_counter":109,"type":"speech","speaker_name":"The Woman Representative for Nakuru County","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nimeshukuru sana, Naibu Spika kwa sababu umenipatia nafasi kuongea. Niko tayari kufanya kazi pamoja na watu wa Nakuru. Tuko pamoja na tuendelee vivyo hivyo. Saidia mwenzako, tafadhali. Mimi niko tayari kufanya kazi. Ahsante sana."}