{"id":758340,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758340/?format=json","text_counter":227,"type":"speech","speaker_name":"twende tukazungumze na wananchi tuwaeleze yaliyojiri na","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Vile vile kwa wenzetu ambao wamechaguliwa kwa mara ya kwanza, watumie fursa hii kuwaeleza wananchi waliowachagua mipangilio yao haswa. Mimi ninaona tutakuwa katika pilkapilka za kutafuta ni nani atakayeshikilia Serikali yetu ya Kenya."}