{"id":758734,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/758734/?format=json","text_counter":372,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Tuwei","speaker_title":"","speaker":{"id":13436,"legal_name":"Vincent Kipkurui Tuwei","slug":"vincent-kipkurui-tuwei"},"content":"hazijasakwa? Ninaomba viongozi wote na vyombo vya usalama waajibike kwa kuona kwamba silaha haramu zilizoko miongoni mwa wananchi zimetolewe na sheria imechukuliwa kwa wakati unaofaa."}