{"id":7635,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7635/?format=json","text_counter":298,"type":"speech","speaker_name":"Bw. Kutuny","speaker_title":"","speaker":{"id":61,"legal_name":"Joshua Serem Kutuny","slug":"joshua-kutuny"},"content":"auliza Waziri wa Barabara:- (a) Serikali imeweka lami barabara zipi katika Eneo Bunge la Cherang’any tangu mwaka wa 2000, (b) Serikali itakarabati lini na kuhakikisha barabara ya Maili Saba- Kaplamai-Kachibora-Kapcherop inapitika, na; (c) ana mipango gani maalum ya kutengeneza barabara zote katika Eneo Bunge la Cherang’any ambazo hazipitiki kamwa kufuatia uharibifu mkuu ulioletwa na mvua nyingi ya hivi majuzi."}