{"id":764933,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/764933/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Katana","speaker_title":"","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninaomba nikukumbushe kwamba katika Bunge hili kuna jinsia mbili na sisi sote tuko hapa kama Wabunge. Ninawasihi macho yenu yawe yanaweza kuangazia jinsia ya kike pia."}