{"id":7662,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7662/?format=json","text_counter":325,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Bett","speaker_title":"","speaker":{"id":157,"legal_name":"Franklin Kipng'etich Bett","slug":"franklin-bett"},"content":"Hatuna wanakandarasi wa kutoa kitu kidogo na hukuna wanakandarasi wa kutoa kitu kikubwa bali tuna wanakandarasi wa kutengeneza barabara. Barabara inatengenezwa kulingana na taratibu ambazo zimewekwa katika kufanya kazi hiyo."}