{"id":76863,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/76863/?format=json","text_counter":69,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mbuvi","speaker_title":"","speaker":{"id":80,"legal_name":"Gideon Mbuvi","slug":"gideon-mbuvi"},"content":"Bw. Spika, wakati Serikali ya Mseto ilichukua uongozi wa nchi hii, iliahidi kubuni nafasi 500,000 za kazi kwa vijana kila mwaka. Je, ni nafasi ngapi za kazi zimebuniwa kufikia sasa? Isitoshe---"}