{"id":772938,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/772938/?format=json","text_counter":57,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kwa sababu ya matamshi yanavyotoka kinywani mwa yule anayetamka. Kwa mfano, hayati Mzee Jomo Kenyatta alikuwa hawezi kutamka “halambee”. Alikuwa akiitamka “harambe” ndio ikaja ikawa harambe imekubalika."}