{"id":773828,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/773828/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Ichung’wah","speaker_title":"","speaker":{"id":1835,"legal_name":"Anthony Kimani Ichung'Wah","slug":"anthony-kimani-ichungwah"},"content":"kwenye mtaro akisafisha Mto Nairobi. Nawaomba Wabunge wenzangu wakubaliane nami ili tumuite Kiongozi wa walio wengi Bungeni ajibu hoja zilizowasilishwa wakati wa mjadala huu. Kwa hayo machache, ninaomba."}