{"id":77454,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/77454/?format=json","text_counter":187,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Keti basi! Ninaona tutaangalia ratiba ya Bunge na tuone lilikuwa Swali nambari gani halafu tutaliwasilisha kwenye Orodha Jumanne wiki lijalo. Lakini hata kabla hilo halijafanyika, nataka Bunge lielewe kwamba Bw. Spika hahangaiki kwa vyovyote."}