{"id":776671,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776671/?format=json","text_counter":294,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bady","speaker_title":"","speaker":{"id":1612,"legal_name":"Bady Twalib Bady","slug":"bady-twalib-bady"},"content":"chini yetu sisi Wabunge ilhali kuna watu ambao ndio wahusika wakuu katika masuala ya barabara. Kwa hivyo, katika Mswada huu, tumeonyesha vitengo mbalimbali vya barabara."}