{"id":776672,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776672/?format=json","text_counter":295,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Bady","speaker_title":"","speaker":{"id":1612,"legal_name":"Bady Twalib Bady","slug":"bady-twalib-bady"},"content":"Vile vile, Mswada huu, katika kipengele cha 46(5), kinazungumzia malipo. Jambo hili ni zuri sana kwa sababu juzi katika sehemu mojawapo ya barabara pale Jomvu, KURA walikuwa wanataka kunijengea barabara nzuri sana lakini wakaniambia, “Hakuna provision ya"}