{"id":778060,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/778060/?format=json","text_counter":139,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Tuwei","speaker_title":"","speaker":{"id":13436,"legal_name":"Vincent Kipkurui Tuwei","slug":"vincent-kipkurui-tuwei"},"content":"Ahsante sana, Mhe. Spika. Mimi pia nimesimama kuunga mkono kuteuliewa kwake Balozi Macharia Kamau kwa wadhifa wa Katibu wa Kudumu katika Wizara ya Masuala ya nchi za Kigeni."}