{"id":778061,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/778061/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Tuwei","speaker_title":"","speaker":{"id":13436,"legal_name":"Vincent Kipkurui Tuwei","slug":"vincent-kipkurui-tuwei"},"content":"Wakati tulipokuwa tukiangalia stakabadhi na vyeti vyake, tuligundua kwamba Balozi Macharia ana ufasaha katika taaluma yake kimataifa na humu nchini. Tulipata kwamba yeye ndiye mwanzilishi wa kampuni, Rank Zerox, ambayo imefana hapa nchini kwa kazi yakupiga chapa."}