{"id":780618,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780618/?format=json","text_counter":42,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mohamend Ali","speaker_title":"","speaker":{"id":13455,"legal_name":"Mohammed Ali Mohamed","slug":"mohamed-ali-mohamed"},"content":"Madaktari waliosajiliwa na Serikali na ambao wanajulikana Kenya nzima ni 11,000. Hawa wanahudumia Wakenya 45 milioni. Kati ya hawa madaktari 11,000, wanaofanya kazi,"}