{"id":780640,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780640/?format=json","text_counter":64,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Kanini Kega","speaker_title":"","speaker":{"id":1813,"legal_name":"James Mathenge Kanini Kega","slug":"james-mathenge-kanini-kega"},"content":"kila mwaka kutoka vyuo vikuu. Lakini wakihitimu hawakai humu nchini. Wanahamia nchi za kigeni.Wanahamia nchi jirani na wengine nchi za Ulaya kwa sababu wanapata lishe bora huko."}