{"id":780668,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780668/?format=json","text_counter":92,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Wetangula","speaker_title":"","speaker":{"id":3036,"legal_name":"Timothy Wanyonyi Wetangula","slug":"timothy-wanyonyi-wetangula"},"content":"Nashukuru sana Muwasilishi wa Hoja hii, Mhe. Mohamed. Naomba Wabunge wenzetu wachangie na kuunga mkono. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba kusema asante kwa Hoja hii na kunipa nafasi kuchangia; asanteni sana."}