{"id":780750,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780750/?format=json","text_counter":174,"type":"speech","speaker_name":"The Temporary Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Hon. (Ms.) Tuya): Tutampatia kila mtu nafasi ya kujieleza. Hata lugha ya Kimombo hukanganya watu wengi. Kwa hivyo jambo muhimu ni tuelewe vile Mhe. ananena lakini abaki katika laini ya lugha moja."}