{"id":780796,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780796/?format=json","text_counter":220,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Nassir","speaker_title":"","speaker":{"id":2433,"legal_name":"Abdulswamad Sheriff Nassir","slug":"abdulswamad-sheriff-nassir"},"content":"Baada ya kuweka Hoja hii, Mhe. Spika wa Muda, niliitwa na kongamano la magavana wa Kenya nzima. Walikuwa na mkutano wao pale Mombasa. Walielezea wazi ya kuwa hawana furaha na hili jambo la---"}