{"id":781340,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/781340/?format=json","text_counter":164,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante Bw. Spika. Neno ‘ halumbe’ ambalo Mhe. Seneta wa Makueni amelizungumzia ni ‘Halambe’ kwa lugha ya Kigiriama. Jina la Kiswahili hasa ni ‘halambe.’ Kama alivyotangulia kusema maana ya ‘halambe’ ni kuvuta pamoja. Harambee ilikuja kwa sababu ya matamshi. Kwa mfano, dada yangu pale, Sen. Kihika, anaweza kusema ‘hera’ badala ya ‘hela.’"}