{"id":786220,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/786220/?format=json","text_counter":101,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mara nyingi imesemekana kuwa vijana ni viongozi wa kesho. Mfano mzuri ni kama huyu Seneta wa Kaunti ya Makueni; wakati wenu umefika na ni sasa. Kwa hivyo, nawaomba tusimame kwa umoja ili tuhakikishe kwamba yale ambayo yamekubalianwa yametekelezwa. Kwa haya machache, Bw. Spika, naunga mkono. Asante sana."}