{"id":788135,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788135/?format=json","text_counter":171,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Rehema Hassan","speaker_title":"","speaker":{"id":13275,"legal_name":"Rehema Hassan","slug":"rehema-hassan"},"content":"Kamati pia itilie maanani hilo suala. Linasaidia sana kwa sababu watu wanapata mboga na vitunguu ambavyo wanaweza kutumia nyumbani na wakiuza wanapata pesa. Hawatalala njaa."}