{"id":788137,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/788137/?format=json","text_counter":173,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Rehema Hassan","speaker_title":"","speaker":{"id":13275,"legal_name":"Rehema Hassan","slug":"rehema-hassan"},"content":"Nimesimama kusisitiza kwamba tuangalie mambo muhimu kuliko kutafutia rafiki wetu ajira. Yeye ni mmoja lakini watakaoumia ni wananchi wa Kenya ambao ni wengi."}