{"id":790760,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/790760/?format=json","text_counter":241,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Asha Mohamed","speaker_title":"","speaker":{"id":13262,"legal_name":"Asha Hussein Mohamed","slug":"asha-hussein-mohamed"},"content":"Naunga mkono Hoja hii. Nina imani kwamba Serikali itatilia maanani jambo hili kwasababu kabla hatujaingia katika mfumo wa sasa wakidigitali, huduma hizi zote zilikuwa zinapatikana."}