{"id":792212,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792212/?format=json","text_counter":89,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Mwanyanje","speaker_title":"","speaker":{"id":13245,"legal_name":"Gertrude Mbeyu Mwanyanje","slug":"gertrude-mbeyu-mwanyanje"},"content":"Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Kwa niaba yangu na kwa niaba ya watu wa Kilifi, naomba kutoa rambirambi zangu kwa familia na watu wa Baringo Kusini kwa kifo cha Mbunge wao, marehemu Grace. Mungu aiweke roho yake pahali pema peponi. Ahsante."}