{"id":792222,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/792222/?format=json","text_counter":99,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Guyo","speaker_title":"","speaker":{"id":13336,"legal_name":"Ali Wario Guyo","slug":"ali-wario-guyo-2"},"content":"Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Nachukua fursa hii kutuma rambirambi zangu kwa jamaa na marafiki wa Mhe. Grace. Nilifanya kazi naye katika kamati ya uchukuzi. Najua ni kiongozi anayepaswa kuigwa. Kifo kitakwenda na kila mmoja wetu. Tenda wema kabla hujakufa. Ahsante."}