{"id":799283,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/799283/?format=json","text_counter":188,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bi Spika wa Muda, ninaunga mkono Hoja hii ya kuaihirisha Bunge na pia nachukua fursa hii kuwatakia Wakenya wote Waislamu Ramadhan Kareem na Saum Mubarak na Tutakutana Mombasa, kijaliwa wiki ijayo."}