{"id":800263,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800263/?format=json","text_counter":83,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mafuriko ninayozungumzia yanahusu Mto Tana na Mto Sabaki. Mafuriko hayo yanatuathiri pamoja na Seneta wa Kilifi. Tuliwahi kwenda sehemu ya Bombi kwa ndege na tukaona hali ni hivyo. Naunga mkono Hoja hii lakini Naomba iambatanishwe na maswala ya Kaunti ya Tana River. Asante sana, Bw. Spika."}