{"id":800295,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800295/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Naibu Spika, naondoa neno ‘Super Senator’. Nasema Sen. Sakaja ambaye ni Seneta wa Kaunti ya Nairobi. Ni Seneta wa jiji kuu kama vile mimi, Seneta wa Kaunti ya Mombasa na Seneta wa Kaunti ya Kisumu."}