{"id":800349,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/800349/?format=json","text_counter":169,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ili mkasa kama huo usiwahi kutokea tena. Kwa hivyo kamati hiyo itakuwa na majukumu. Hata hivyo, jambo ambalo ningependa waongeze katika majukumu yao ni kuangalia preparedness – sijui nitasema namna gani kwa Kiswahili – ya serikali zetu zote. Yani Serikali ya kitaifa na serikali za---"}