{"id":801003,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801003/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Hon. King’ara","speaker_title":"","speaker":{"id":13468,"legal_name":"Simon Nganga Kingara","slug":"simon-nganga-kingara-2"},"content":"Wakati viongozi, hasa Rais Uhuru Kenyatta na Mhe. Raila Odinga, waliketi na kukubaliana kuleta uwiano katika maendeleo, tulipata nafasi ya kuendelea vyema. Kwa hivyo, tunawashukuru. Ni vizuri sisi viongozi tuwaige ndiyo Kenya yetu iweze kupiga hatua za haraka kimaendeleo."}