{"id":801472,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/801472/?format=json","text_counter":84,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa muda, “Spika” ni neno la Kiswahili na akipenda, naweza kumpa kamusi sasa hivi ili ahakikishe kwamba hilo ni neno la Kiswahili. Kwa hivyo, kama hajui, aelezwe."}