{"id":806036,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806036/?format=json","text_counter":99,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":13200,"legal_name":"Issa Juma Boy","slug":"issa-juma-boy"},"content":"Ahsante sana, Bw. Naibu Spika. Ninakushukuru kwa kupata fursa hii siku ya leo kuungana na Maseneta wenzangu kuomboleza kifo cha Seneta mwenzetu, Sen. Okello. Siku ya leo ni siku ya huzuni sana. Mheshimiwa Oliech alikuwa ni Seneta mwenzetu ambaye---"}