{"id":806042,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806042/?format=json","text_counter":105,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omanga","speaker_title":"","speaker":{"id":13175,"legal_name":"Millicent Omanga","slug":"millicent-omanga"},"content":"Ahsante sana Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuungana na wenzangu kumuomboleza mwenzetu aliyetuaga, Sen. Okello. Mara ya mwisho kupatana na Seneta mwenzangu, Sen. Okello, ilikuwa wakati alipokuwa akinihoji kwenye radio alipokuwa anatangaza. “Alinipumbuaza” kwa ustadhi wake wa utangazaji kule kwenye radio Ramogi. Kweli tumempoteza Mkenya---"}