{"id":806053,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806053/?format=json","text_counter":116,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omanga","speaker_title":"","speaker":{"id":13175,"legal_name":"Millicent Omanga","slug":"millicent-omanga"},"content":"Bw. Naibu wa Spika, tumempoteza mwenzetu kutokana na saratani ya koo. Ameugua ugonjwa huu kwa muda. Nilipokuwa mchanga tukiwa shuleni, tulifahamishwa kwamba vyuo vikuu vilikuwa na mafunzo ya uchunguzi wa magonjwa ya zinaa kama ukimwi. Hata hivyo, kwa sasa tuna ugonjwa wa saratani na vyuo vyetu vikuu havijaanzisha “malabaratori” kama hayo ambayo yalianzishwa wakati …"}