{"id":811633,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/811633/?format=json","text_counter":128,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Shukrani Mheshimiwa Naibu Spika. Nitazungumza kwa Kiswahili ili mwenzangu, Mheshimiwa King’ola, aweze kuninukuu vizuri maanake walipotoka katika mabaraza ya manispaa, wengi walikuwa wanazungumza kwa lugha ya mama. Nataka kumuunga…"}