{"id":811641,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/811641/?format=json","text_counter":136,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nimesalimu amri. Namuunga mkono Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni kwa maoni yake kuhusu mijadala ambayo tumekuwa nayo katika Bunge hili."}