{"id":81433,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/81433/?format=json","text_counter":146,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kenyatta","speaker_title":"","speaker":{"id":168,"legal_name":"Uhuru Muigai Kenyatta","slug":"uhuru-kenyatta"},"content":"Bw. Naibu Spika, mfumo ambao tulitumia ni mfumo ambao ulikuwa unalenga kuhakikisha ya kwamba, haswa, upande wa afya ya umma, hospitali zitajengwa katika maeneo ya rural areas."}