{"id":814547,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/814547/?format=json","text_counter":154,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Seneta","speaker_title":"","speaker":{"id":611,"legal_name":"Mary Yiane Senata","slug":"mary-yiane-senata"},"content":"Bw. Naibu Spika, ningependa kuwaomba Wakenya waelewe ya kwamba majukumu ya Seneti ni kuhakikisha ya kwamba kaunti zetu zinatumia vizuri pesa na rasilimali ambazo wamepewa. Asante sana."}