{"id":817866,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817866/?format=json","text_counter":446,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bi. Spika wa Muda, naomba unilinde kutokana na Maseneta, mawakili wenzangu ambao wanazungumza kwa sauti ya juu. Iwapo tutaangalia na kuchunguza kwa makini utamaduni wa watu wa North"}