{"id":817964,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/817964/?format=json","text_counter":78,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi kuunga mkono, na kwangu si kuunga mkono tu. Ningetaka ijulikane kwamba mbali na kuunga mkono, niko tayari kuunga mguu Hoja hii ya maana sana kwa korosho."}