{"id":820238,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/820238/?format=json","text_counter":356,"type":"speech","speaker_name":"Cherangany, JP","speaker_title":"Hon. Joshua Kutuny","speaker":{"id":61,"legal_name":"Joshua Serem Kutuny","slug":"joshua-kutuny"},"content":" Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Sitaki kumjibu Mhe. Pamela Ochieng lakini amejaribu. Sipotoshi Bunge la Kitaifa. Mimi si mtu wa kawaida bali ni Mhe. Kwa hivyo, ni vyema kujifahamisha wakati mwingine. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."}