{"id":821880,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821880/?format=json","text_counter":93,"type":"speech","speaker_name":"Trans Nzoia CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Janet Nangabo","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":" Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Hoja hii. Kwanza, nataka nichukue nafasi hii nimshukuru Mhe. Jessica kwa kuleta Hoja nzuri ambayo inahusu watu ambao wamedhulumiwa katika jamii."}