{"id":821901,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/821901/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Likoni, ODM","speaker_title":"Hon. (Ms.) Mishi Mboko","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"Kenya imefanya mikataba pamoja na nchi nyingi ulimwenguni. Mikataba hiyo, pakubwa, inahusu jinsi tutakavyoshiriki katika kuangamiza dhuluma za kijinsia manyumbani kwetu."}