{"id":827292,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/827292/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Nimepitia vipengele kadhaa katika Mswada huu na ninaona kwamba vyote vina jaribu kulinda haki za kibinadam. Kwa mfano, haki ya kuwa na siri au privacy kwa Kiingereza, katika data yako."}