{"id":842016,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/842016/?format=json","text_counter":398,"type":"speech","speaker_name":"Garsen, JP","speaker_title":"Hon. Ali Guyo","speaker":{"id":13336,"legal_name":"Ali Wario Guyo","slug":"ali-wario-guyo-2"},"content":"Mhe. Spika, pia mawaziri wako na magari ya msafara. Sijui wamechaguliwa na nani ama wako na maadui wa aina gani ndio inawalazimu kutembea na magari kwa msafara."}